#HABARI: Mchezaji wa Timu ya wanawake ya Yanga Princess Mnyarwanda Jeanine Mukandiyisinge leo anafanyiwa vipimo maalum kutokana na malalamiko juu ya mashaka ya jinsia yake.
@hoseamchopa amemtafuta Dkt. Mussa Msemo-Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina mama na afya ya uzazi kutoka Spartial Specialized Clinic kitalaamu anaeleza vitu gani ambavyo vinatumika kuthibitisha jinsia ya mtu ambapo amesisitiza kuwa homoni pekee hazitoshi kutumika kama kigezo.
FULL VIDEO IKO KWENYE #YOTUBE #ITVTANZANIA
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania