#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu inaendelea leo Oktoba 8, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
Kinachoendelea hivi sasa, Lissu anaendelea kumbana maswali ya dodosi (cross examination) shahidi wa kwanza wa Jamhuri, ACP George Wilbert.
Lissu anakabiliwa na shtaka moja la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, shtaka linalotokana na maneno aliyodaiwa kuyatoa kuhusu kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.