Chama Cha Kijamii (CCK) kimesema kuwa iwapo mgombea wake wa Urais David Mwaijojele atapewa ridhaa ya kuiongoza nchi kipaumbele chake kitakuwa kupambana na mikopo sumbufu maarufu kwa jina la “Kausha Damu”.
Maelezo ya kina yanatolewa kwenye taarifa hii.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi