#HABARI: Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda (@Baba_Keagan), amewasihi Wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura akisema kufanya hivyo kutawapa uhalali wa kuwahoji viongozi kuhusu maendeleo huku akisisitiza kwamba mtu ambaye hapigi kura hana uhahalali wa kuhoji kuhusu maendeleo.

Makonda ameyasema hayo wakati akiongea na wananchi wa vijiji mbalimbali akiwa njiani kuelekea Bariadi mkoani Simiyu, ambako unafanyika mkutano wa Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *