Kama una ndugu au jamaa ambaye unahisi ana changamoto ya akili na hujui jinsi ya kumwambia, sikiliza ushauri wa Mtaalamu wa Saikolojia, Elibariki Mkumbo, akielezea viashiria vya changamoto za afya ya akili na njia sahihi za kumueleza mhusika.

#AzamTVUpdates
✍Juliana James
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *