KILICHOJIRI LEO KESI YA LISSU, YAAHIRISHWA HADI J’TATU
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu imeahirishwa hadi Jumatatu Oktoba 13, 2025.
Kesi hiyo ilikuwa ikiunguruma leo Oktoba 10, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo leo Lissu alikuwa akimhoji shahidi wa pili wa upande wa Jamhuri.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania