Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limeombwa na wanavijiji vinavyozunguka hifadhi ya kisiwa cha Rubondo kuwasaidia vijana wa maeneo hayo kupata ajira ili kupunguza uvamizi kwenye mbuga hizo unaochochewa na shughuli za binadamu.
Ester Sumira ana ripoti ya kina.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi