Watu zaid ya 9,000 wamepata ajira kupitia ujenzi wa mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda hadi Chongoleani, mkoani Tanga, huku asilimia 75 kati yao wakiwa Watanzania.

Hayo yamebainishwa mapema leo na bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari, mara baada ya kukagua maendeleo ya mradi huo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *