#HABARI: Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza byumba 12 pamoja na mali zingine zilizokuwa ndani ya nyumba hiyo, katika eneo la Dar es Saalam mtaa wa Kiusa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jeremia Mkomagi, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, huku pia akieleza jitihada walizofanya katika kuuzima moto huo ili usilete madhara zaidi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *