Mgombea wa Urais wa Zanzibar kutoka CCM, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaahidi wakulima wa mwani visiwani humo kupanda kwa bei ya zao hilo kufikia Shilingi 1,000 iwapo atapata nafasi ya kutetea kiti cha Urais.

Mbali ya ongezeko hilo pia Dkt. Mwinyi ameahidi serikali yake kununua mwani uliohifadhiwa majumbani na kushirikiana na wakulima wa mwani, mpunga na wavuvi.

Mtumwa Saidi ana maelezo zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *