Huenda una mtoto wa kike ambaye ana ndoto kubwa na tayari ameanza kuweka mipango na mikakati ya kufikia ndoto hiyo lakini kuna vikwazo vinampa changamoto.
Rebeca Mbembela amezungumza na binti mwenye umri wa miaka 11 mwenye ndoto ya kuwa daktari bingwa.
Je, ni changamoto gani anakabiliana nazo?
Wazazi wanamsaidiaje?
Ungana na Rebeca kupata undani zaidi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi