Mgombea Urais kupitia chama cha MAKINI, Coaster Kibonde ameahidi kugawa vifaa vya shule bure kwa wanafunzi wote ili kuwapunguzia wazazi mzigo wa gharama za elimu iwapo atafanikiwa kuunda serikali.

Kibonde ametoa ahadi hiyo mkoani Simiyu ikiwa ni mkoa wake wa 17 tangu aanze kampeni za kunadi sera za chama chake na kuomba ridhaa kwa wananchi kumchagua kuwa Rais wa Tanzania.

Taarifa zaidi na Rehema Evance.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *