Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imesema changamoto za wadau waliopo kwenye mnyororo wa thamani wa mazao wakiwemo wakulima, vyama vya msingi, wanunuzi wa mazao, wasafirishaji na wengineo wanapaswa kusikilizwa kwenye maeneo ya uzalishaji ili changamoto zao ziweze kueleweka kwa kina na kutafutiwa ufumbuzi.

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa COPRA Mary Majule kama anavyoeleza hapa kwenye taarifa iliyoandaliwa na Esterbella Malisa.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *