Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha UPDP, Twalib Kadege ameahidi kufuta mfumo wa malipo ya wakulima kwa stakabadhi ghalani na kuanzisha mfumo wa kununua mazao ya wakulima kwa fedha taslimu.

Sanjari na hilo Kadege amesema akifanikiwa kushinda na kuanzisha serikali, taasisi hiyo itanunua matrekta milioni 400 na kuyagawa kila kijiji ili kuwezesha kilimo cha kisasa.

Mwandishi wetu Kakuru Msimu anaripoti zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *