#HABARI: Watu watatu akiwemo raia wa Kichina wamenusurika kifo baada ya gari aina ya Toyota ‘Kluga’ lenye namba za usajili T327 ELT kuvamia duka maeneo ya makazi ya watu Mtaa wa Bwila nje kidogo ya mji wa Handeni huko mkoani Tanga mchana wa leo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.