#HABARI: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Ziwa Victoria, Ezekiel Wenje, amejiuga na Chama cha Mapinduzi CCM leo, wakati wa Kampeni za CCM za kumnadi mgombea wake wa Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita.

“Kazi ambayo CCM imefanya tangu nchi ipate uhuru ni suala la nchi yetu kuwa na amani na utulivu, mtu anakuambia tarehe 29 tunaenda kuandamana yeye na mke wake na watoto wake wapo Marekani.”

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *