Waziri Araghchi: Ulaya ‘imehafifisha’ nafasi yake katika mazungumzo ya siku zijazo ya mpango wa nyuklia wa Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Ulaya zimedhoofisha msimamo wao katika mchakato wa kidiplomasia unaolenga kutatua kadhia ya nyuklia ya Iran na…