🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA: OKTOBA 05, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA: OKTOBA 05, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA: OKTOBA 05, 2025
Siku moja baada ya Mwananchi kuripoti taharuki katika eneo la Katumba, wilayani Rungwe, mkoani...
MABOSI wa Dodoma Jiji wanatarajia kukutana muda wowote kuanzia sasa ili kujadiliana masuala mbalimbali ya timu hiyo, huku ajenda kubwa ikiwa ni ishu nzima ya mustakabali wa kocha wa kikosi…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Kagera liesema litaendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria madereva wanaoendesha magari yanayobeba abiria na mizigo, wanaosababisha ajali za barabarani kutokana na sababu ya uzembe ambazo…
NYOTA mpya wa Singida Black Stars, Lamine Diadhiou Jarjou amesema anaona ni heshima kubwa kwake na wenzake kuwa sehemu ya mafanikio ya timu hiyo, huku akizipiga mkwara Simba, Yanga na…
Wananchi wa kijiji cha Nanyunyi Kata ya Ihanda, wilayani Mbozi mkoani Songwe, huenda wakapata...
SIMBA itarejea kambini Oktoba 5, 2025 ili kujiandaa na mechi zilizopo mbele yao Ligi Kuu Bara na ile ya kimataifa ikiwa imetinga raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika,…
#HABARI: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania "THRDC" umebainisha kuwa kwa sasa Tanzania inahitaji kujielekeza katika kuja na muafaka wa kitaifa ambao utakuwa muarobaini wa changamoto mbalimbali ambazo…
Syria ilifanya uchaguzi wa kihistoria kwa Bunge lake la Watu kwa muda ulioongezwa wa kura huku serikali mpya ya mpito ikitafuta mageuzi na mshikamano.
Siku moja baada ya Mwananchi kuripoti taharuki katika eneo la Katumba, wilayani Rungwe, mkoani...
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa 2025, Ismail Ali Ussi amewataka wananchi wa Wilaya...
Afrika Kusini ilizidisha nguvu katika kipindi cha pili na kulaza Argentina 29-27 uwanjani Twickenham Jumamosi na kushinda Ubingwa wa Raga kwa mara ya sita, kwa tofauti ya pointi.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, Ismail Ally Ussi, amezitaka halmashauri nchini kutenga na kupima maeneo kwa mpangilio bora ili kupunguza migogoro ya ardhi. Amesisitiza wananchi wenye viwanja…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limeombwa kufanya doria za mara kwa mara ndani ya Ziwa Victoria, ili kudhibiti uhalifu mbalimbali wanaofanyiwa wavuvi ndani ya ziwa hilo ikiwemo kuporwa kwa…
Watu zaidi ya 40 wamefariki dunia na wengine hawajulikani walipo baada ya kutokea kwa mafuriko...
Tukio hilo limetokea mtaa wa Nzuguni B jijini Dodoma huku ikielezwa kuwa imekuwa ni tatizo la...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu Cosmas Msumari adhabu ya kunyongwa...
Katika kitovu cha njia yenye msongamano mkubwa wa uhamiaji eneo la mashariki, Pembe ya Afrika na kusini mwa Afrika kuna mji mdogo wa pwani ya kaskazini mwa Djibouti unaoitwa Obock.…
BEKI wa zamani wa Simba ya Vijana U-20, Alon Okechi Nyembe anayekipiga Zanaco FC ya Zambia amesema amechelewa kupata kibali cha kazi kilichomfanya asicheze hadi sasa.
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Said Khamis 'Said Jr' anayekipiga IFC Malaysia amesema Ligi Kuu ya Malaysia ni miongoni mwa ligi ngumu barani Asia.
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Oscar Evalisto anayekipiga Makadi FC amesema mipango yake msimu huu ni kuchukua kiatu cha mfungaji bora kwenye ligi hiyo.akisaidia timu hiyo kumaliza nafasi ya sita kwenye msimamo…
KINDA wa Tanzania anayekipiga Trident FC ya Zambia, Mourice Sichone amesema maumivu ya kidole cha mguu aliyopata mazoezini yatamweka nje ya uwanja kwa takribani wiki tatu.
Katibu wa Baraza la Vijana jimbo la Lupembe, Abedinego Sanga, anadaiwa kuchukuliwa na watu...
Israel imeendeleza mashambulizi makali Gaza City huku wajumbe wa upatanishi wakikutana mjini Cairo kujadili utekelezaji wa mpango wa amani wa uliopendekezwa na Rais Donald Trump, na ambao umekubaliwa kwa sehemu…
Kocha wa timu ya Pamba Jiji, Francis Baraza ametoa pongezi kwa usajili ilioufanyika Stand United, huku akikiri kazi uwanjani umeonekana kupitia wachezaji hao.
Na hivi karibuni, Mkurugenzi wa Michezo wa Barcelona, Deco alisema kuwa Rashford anawapa kile...
Bodi ya Ligi Kuu Bara imewatangaza washindi wa mwezi Septemba kwenye ligi hiyo kwa upande wa kocha na mchezaji.
Bodi ya Ligi Kuu Bara imewatangaza washindi wa mwezi Septemba kwenye ligi hiyo kwa upande wa kocha na mchezaji.
Stoo ya kuhifadhia manukato (pafyumu) iliyoko katika ghorofa la mitaa ya Msimbazi na Mkunguni...
Wakati Shilingi ya Tanzania ikiendelea kupanda thamani dhidi ya fedha za kigeni kila siku...
Ushindi wa Arsenal dhidi ya West Ham juzi ulikuwa wa kipekee kwa Bukayo Saka, kwani alifunga...
Wapatanishi wa Israel na Hamas wamekusanyika Jumapili mjini Cairo kwa mazungumzo ya kujaribu kumaliza mzozo wa takriban miaka miwili huko Gaza.
🔴TAMASHA LA MICHEZO,... 05, OKTOBA 2025
Watu watano wameuawa nchini Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi usiku wa kuamkia Jumapili.
Mwanadiplomasia mkuu wa Iran amesema ushirikiano kati ya Tehran na shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu matumizi ya nishati ya nyuklia (IAEA) hauna tena umuhimu baada ya nchi hiyo…
Yván Gil Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amemtaja Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel kama muuaji sugu anayeendelea kuhujumu jitihada za kuhitimisha vita huko Gaza.
Maandamano ya vijana maarufu kama GenZ yameendelea kuyatikisa mataifa kadhaa ya Afrika ambapo waandamanaji wanadai uwajibikaji wa viongozi na uwepo wa huduma bora za kijamii.
Waziri wa Michezo na Vijana wa Iran, Ahmad Donyamali amewataka mawaziri wenzake katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuunda muungano wa pamoja dhidi ya utawala wa Israel ambao utasaidia…
Wakfu wa Nelson Mandela, taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa kwa ajili ya kumbukumbu ya rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, imelaani amelaani vikali shambulio la utawala wa Israel dhidi…
Serikali ya Somalia imethibitisha kuwa wapiganaji saba wa kundi la kigaidi la Al-Shabab wanaofungamana na kundi la kigaidi la al-Qaeda wameuawa baada ya makabiliano ya saa kadhaa kufuatia shambulio kubwa…
Mafuriko na maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya takriban watu 20 katika eneo la milima la kaskazini mwa India la Darjeeling.
Kama umewahi kupewa zawadi ya kiwanja (ardhi) lakini hakuna hati rasmi ya kimaandishi, zawadi yako ni batili kisheria. Msikilize Mwanasheria Bashir Yakubu akifafanua zaidi. #SheriaUpdates #AzamTVUpdates
Tamasha la Irreecha hufanyika ili kumshukuru Mungu, ambaye Waoromo humwita Waaqa. Wengine bado wanatekeleza Waaqqeffannaa wa kimapokeo, ambayo ni ibada ya Waaqa.
Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nuwas, amemuomba mgombea urais wa Tanzania kw atiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan endapo…
Khalid Qaddoumi Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano yaKiislamu ya Palestina Hamas nchini Iran amesema kuwa harakati hiyo ya muqawama ya Palestina imekuwa tayari tangu awali kubadilishana mateka na kusimamisha vita…
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amevipongeza vikundi vya wajasiriamali wa halmashauri ya jiji la Dar es Salaam waliopokea mikopo ya pikipiki na bajaji zilizotokana na mikopo ya asilimia…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Edward Mpogolo, amewataka vijana, wanawake na makundi maalum Jijini Dar es Salaam, kutumia vyombo vya usafirishaji walivyokabidhiwa ikiwemo Pikipiki 39 na Bajaji 6…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Irene Mlola amesema Tanzania imeshika nafasi ya pili duniani kwa uzalishaji wa mbaazi, huku msimu wa mwaka jana…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…