Dhamira inayowezekana: kuwapa wateja kipaumbele miaka 25 ijayo
Leo tunapoanza Wiki ya Huduma kwa Wateja ya mwaka 2025 chini ya kauli mbiu “Dhamira...
Leo tunapoanza Wiki ya Huduma kwa Wateja ya mwaka 2025 chini ya kauli mbiu “Dhamira...
Waasi wa M 23 wanaendelea kujiimarisha zaidi kisiasa na kiuchumi, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, licha ya kuwepo kwa mkataba wa kusitisha vita, ambao utekelezwaji wake, unaendelea kusuasua.…
Sébastien Lecornu ambaye amejiuzulu kwene wadhifa wa Waziri mkuu wa Ufaransa amesema kuwa masharti hayakuweza kutimiwza ili kuwa waziri mkuu. Hayo ni baada ya kujiuzu kwenye wadhifa huo Jumatatu, Oktoba…
Nahidha wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya England, John Terry, 44, kwa sasa unaweza...
Wewe ni mfanyabiashara wa sanaa bunifu na bado haujajisajili katika Baraza la Sanaa Tanzania Unapitwa na mengi, ili kuikuza biashara yako na kuipa thamani kama anavyotueleza Afisa Sanaa na Mkuu…
Mapema mwezi huu viongozi wa mataifa mbalimbali walikutana makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN), jijini New York kwenye mkutano wa 80 wa UN, huku agenda kuu ikiwa ni kuitambua…
Mazungumzo ya kuachiliwa kwa mateka wa Israel na wafungwa wa Kipalestina na usitishwaji vita huko Gaza yamepangwa kuanza leo Jumatatu, Oktoba 6, katika eneo la mapumziko la Bahari Nyekundu la…
Katika kile kinachoonekana kama kimbunga kipya cha kisiasa nchini Ufaransa, Waziri Mkuu mpya Sébastien Lecornu amejiuzulu siku chache tangu kuteuliwa kushika wadhifa huo, na chini ya mwezi mmoja tangu kuingia…
#HABARI: Wagonjwa sita ambapo ni wanawake wawili na wanaume wanne waliokuwa mahututi wamefariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) cha hospitali iliyoko katika mji…
#HABARI: Serikali imewataka wananchi kutumia maji yaliyopimwa ubora kwa sababu ni safi na salama kwa afya. Meneja wa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoa wa Shinyanga…
#HABARI: Mgombea wa urais kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameacha gumzo la aina yake katika mikoa ya Kaskazini Tanga, Kilimanjaro, Arusha, Manyara kutokana na ahadi zake zilizoleta imani kwa wananchi…
Ni wazi kuwa Nikki Mbishi ni mmoja wa wasanii maarufu wa hip hop kutoka Tanzania ambapo wengi...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi...
Kwenye ulimwengu wa burudani, ndoa mara nyingi huwa ni tukio linalovuta macho na masikio ya...
Mastaa Bongo ni wengi. Wako katika fani mbalimbali sanaa na michezo. Kipindi cha nyuma kila...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekubali hatua ya Waziri wake Mkuu Sebastien Lecornu kutangaza kujiuzulu saa chache baada ya kulitaja baraza lake la Mawaziri kulingana na taarifa kutoka kwa Ofisi…
#VIDEO: Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu tayari amefikishwa kwenye chumba cha Mahakama tayari kwa kuanza kusikilizwa kwa kesi yake ya uhaini inayomkabili ambapo kama kawaida…
Wakali wa hip hop Bongo, AY na Fid Q wameweka wazi kuwa nyimbo zao zimekubaliwa kuingia katika...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
#HABARI: Idadi ya waliofariki kutokana na kuporomoka kwa jengo la shule nchini Indonesia imefikia 54, mamlaka imesema, huku waokoaji wakiendelea kutafuta zaidi ya watu kumi na wawili waliopotea. Mamia ya…
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Mohammad Pakpour amesisitiza kuwa, Jeshi la Iran limejiandaa kikamilifu kutoa jibu thabiti na kali kwa chockochoko tarajiwa za…
Rais wa Marekani, Donald Trump amemkemea vikali Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa radimali yake hasi kwa jibu 'chanya' la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas kwa…
Ilikuwa siku ya Alhamisi Oktoba 2, 2025 wakati natoka kuswali swala ya Alasiri katika msikiti...
Zaidi ya familia 1,200 za Sudan zimefurushwa katika nyumba zao na mafuriko katika mji wa Bahri katika jimbo la Khartoum, Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilisema hayo jana Jumapili.
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
#HABARI: Hali ilivyo kwenye Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Powered by #MCHEZOSUPA…
#MEZAHURU: “Matumizi umeme na miundombinu”. Tunaangalia juu ya matumizi ya umeme na miundombinu yake, Jinsi uboreshaji ulivyofanywa lakini hali ya wateja kulinda na kuithamini miundombinu ya umeme. Je, unashiriki vipi…
Serikali ilisema hakuna raia au afisa wa usalama aliyeuawa katika shambulio hilo la Jumamosi, ambalo lilidaiwa na kundi la wanamgambo wa al-Shabab
Jeshi la Polisi nchini limesema litawasaka, kuwakamata na kuwafikisha katika mamlaka za haki jinai wote wanaotumia mitandao ya kijamii kuandika, kutengeneza au kusambaza maandishi na picha zenye kuchochea vitendo vya…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 6, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
China imetangaza kuwa, kujitoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chanzo cha mgogoro unaoshuhudiwa hivi sasa kuhusiana na kadhia ya nyuklia ya Iran.
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 06, 2025
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema itaunga mkono uamuzi wowote wa watu wa Palestina na Muqawama kuhusu pendekezo la kusitisha mapigano Gaza linaloungwa mkono na Marekani, huku ikiionya…
Israel imeidhinisha mpango mpya wa makazi wa kunyakua ekari tisa za ardhi kutoka kijiji cha Wapalestina cha Kafr Qaddum, mashariki mwa Qalqilya kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi, afisa wa eneo…
Nchini Madagascar, maafisa wa usalama, wanatetea uamuzi wao wa kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji vijana maarufu kama Gen Z kwa madai kuwa, wanazua vurugu, badala ya kuandamana kwa amani. Imechapishwa:…
Trump anasema ataendelea kufuatilia hali hiyo, akisema kuwa wakati ni muhimu.
Timu ya voliboli ya wanawake ya Iran iliigaraza Uzbekistan kwenye mashindano ya Kombe la Chalenji ya Wanawake wa Asia ya Kati (CAVA) jana Jumapili na kushinda taji hilo la kieneo…
Ile siku Othman Masoud Othman, alipoteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ilikuwa...
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), hakiwezi kuondoka...
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC, Jumatatu hii inatazamiwa kutoa uamuzi wake dhidi ya kiongozi wa wanamgambo nchini Sudan anayetuhumiwa kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu…
Ile siku ambayo Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, alikuwa...
🔴MAGAZETI:HATIMA YA LISSU / FOLZ ANA SAA 24
#KIPIMAJOTO: Ahadi zinazotolewa katika Kampeni za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Je, wananchi wanaridhika nazo?
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, litakaloongozwa na Waziri Mkuu Sébastien Lecornu. Imechapishwa: 06/10/2025 – 05:31 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Vyombo vya usalama nchini Madagascar, vimewatuhumu waandamanaji kwa kusababisha vurugu wakati wa maandamano ya tangu juma lililopita, vikisema matumizi ya nguvu walizotumia zilisababishwa na tabia zao. Imechapishwa: 06/10/2025 – 05:20…
Nchi ya Rwanda, imeukosoa utawala wa Kinshasa kwa kuendelea kukwamisha utekelezwaji wa baadhi ya vipengele muhimu vya mkataba waliotiliana saini hivi karibuni, utawala wa Kigali ukitoa sababu za kwanini pande…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 06, 2025