SK2 / S02S10 Novemba 2025

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, limefanya misa Takatifu ya Kuombea waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania// Wanaharakati nchini Kenya wametoa wito kwa serikali ya taifa hilo kuimarisha juhudi za kuangazia maslahi ya raia wake wanaosafiri katika mataifa ya kigeni dhidi ya dhulma// Mkutano wa kilele wa mabadiliko ya tabianchi waaza leo hii katika mji wa Belem, nchini Brazil.

https://p.dw.com/p/53NIh

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *