#VIDEO: Leo Bungeni aliyekuwa Mgombea wa Uspika kupitia Chama cha ADC, Amin Yango, amezua kicheko Bungeni baada ya kujibu kwa utani swali la Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku (Msukuma), aliyemuuliza kuhusu mavazi aliyovaa na kumjibu kuwa, “Kiongozi lazima uwe smati kwa hiyo isikuhadae rangi Mhe.Msukuma jirani yangu utamu wa chai sukari”, majibu hayo yaliibua vicheko ndani ya Bunge.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *