#HABARI: Bi. Nasriya Nasir Ali, Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Wenye Ulemavu kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) akila kiapo bungeni leo Novemba 12, 2025.
Zoezi hilo la kula kiapo kwa wabunge lilianza jana na liaendelea leo ikiwa ni siku ya pili mfululizo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania