Ligi ya mabingwa Afrika kwa upande wa wanawake kuendelea kwa mechi za Kundi B.

Saa 10:00 jioni, TP Mazembe watakipiga na Gaborone United.
Katika mechi zilizopita, TP Mazembe alipoteza huku Gaborone United akipata sare.
Je, leo nani kuondoka na alama tatu?…

Saa 1:00 usiku, JKT Queens wakicheza na Asec Mimosas.
JKT wanahitaji ushindi katika mchezo huu ili kuiiweka mazingira kwani walipata sare mechi iliyopita huku Asec akipata ushindi.

Mechi hizi kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.

#SisiNiSoka #Azamtvsports #CAFWL

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *