#HABARI: Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, ameapishwa na kula kiapo cha uaminifu na ahadi ya uzalendo mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu mara baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

‎Mhe. Dkt. Gwajima ameahidi, kulitumikia taifa kwa moyo wake wote.

Katika kipindi cha mwaka 2020-2025 Dkt. Dorothy Gwajima aliteuliwa kuwa mbunge na alihudumu kama Waziri wa Wizara mbili ambazo ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (2020–2022) na baadaye Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum (2022–2025).

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *