Jumamosi ya Novemba 22, wawakilishi wa Tanzania katika ligi ya mabingwa Afrika wataianza hatua ya makundi ya michuano hii wakiwa nyumbani.

Saa 10:00 jioni, Yanga SC watakuwa dimba la New Amaan Complex wakiwakaribisha FAR Rabat kutoka Morocco.

Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports4HD.

Saa 1:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha Petro Atletico kutoka Angola.

Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.

#CAFCL #Groupstages #Azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *