Baadhi ya vijana wanatamani kuwa na elimu ya sekondari kama moja ya hatua muhimu ya kupevusha ndoto zao katika maisha, lakini sababu mbalimbali ikiwemo umaskini, mimba za utotoni na nyinginezo zimekuwa zikiwatatiza baadhi yao kutimiza ndoto zao.

Mpango wa serikali wa kuwapatia elimu vijana waliokosa kujiunga na elimu katika mfumo rasmi (SEQUIP) umekuwa kimbilio la wengi hasa katika nyakati hizi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *