Wakati dunia ikiadhimisha siku ya ugonjwa wa kisukari, #AzamNews imezungumza na Lezeli Jackson, Mkazi wa Dodoma aliyegundulika kuishi na kisukari baada ya kufika hospitalini kwa ajili ya matibabu ya mgongo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *