Uchunguzi wa moto ulioua watu 55 waanza Hong Kong
Mamlaka ya kupambana na ufisadi Hong Kong yaanzisha uchunguzi wa ukarabati baada ya moto ulioua watu 55, huku juhudi za uokoaji zikiendelea.
Mamlaka ya kupambana na ufisadi Hong Kong yaanzisha uchunguzi wa ukarabati baada ya moto ulioua watu 55, huku juhudi za uokoaji zikiendelea.
Mahakama ya Urusi imewahukumu watu wanane kifungo cha maisha jela leo Alhamisi, Novemba 27, kwa kuhusika kwao katika mlipuko mkubwa ulioharibu kwa kiasi daraja maarufu linalounganisha Urusi na Rasi ya…
Urusi imesema kuwa majeshi yake yamefanya mashambulizi yaliyolenga miundombinu ya nishati na uchukuzi nchini Ukraine huku Kiev ikijibu kwa kushambulia kiwanda cha silaha cha Urusi cha VNIIR-Progress.
Kongamano hilo la maombi ya kuombea amani ya Taifa, limehudhuriwa na viongozi wa dini, Serikali...
MBUNIFU wa mavazi na mwanamitindo, Agusta Masaki, anatarajiwa kuiwakilisha Tanzania katika onyesho kubwa la mitindo Africana Royal Elegance Collection litakalofanyika nchini Nigeria kuanzia Novemba 28 hadi 30, 2025. The post…
Licha ya juhudi za mashirika yasiyo ya kiserikali na mamlaka za afya, surua inaendelea kuathiri maeneo ya Masisi na Rutshuru katika mkoa wa Kivu Kaskazini. Ugonjwa huu huathiri zaidi watoto…
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imefichua vipengele vipya vya athari za kutisha za vita vya Gaza. Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa vita vya utawala wa Kizayuni huko Gaza vimeunda…
Mwanamuziki na mwigizaji kutoka nchini Kenya, Sanaipei Tande (40) amezua gumzo katika mitandao...
#HABARI: Mahakama ya Wilaya Temeke jijini Dar es Salaam imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 20 jela Rashidi Ruambo mwenye umri wa miaka 56 fundi ushonaji Mkazi wa Yombo Makangarawe kwa…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imetangaza leo Alhamisi, Novemba 27, kufungwa kwa ubalozi wa mwisho wa Poland nchini Urusi, ulioko Irkutsk, Siberia, ikijibu tangazo la wiki iliyopita la…
SERIKALI ya India imesema itaendelea kushirikiana na Urusi kuimarisha uhusiano wao wa kibiashara kwa kuanzisha Kituo cha Biashara cha Russia-India (Russian-Indian Trade House), hatua inayochukuliwa kuwa maendeleo makubwa katika ushirikiano…
🔴HABARI ZA SAA, SITA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
Ni mwaka mooja leo Alhamisi, Novemba 27, 2025, tangu kusainiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano yalipoanza kutumika kinadharia kati ya Israel na Lebanon. Yalitiwa saini baada ya makabiliano makali kati…
Tuzo hizo hutambua wanaharakati wa uhifadhi barani Afrika ambao wameleta ubunifu na athari...
Honorine Porsche kwanza alikiri kuchukuwa pesa lakini baadaye akadai kuwa aliibiwa na maafisa wa usalama walioingia kwenye benki hiyo.
Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji nchini wameitaka jamii kuimarisha usimamizi wa malezi ya watoto na kuwa karibu nao ili kuwakinga dhidi ya hatari ya udhalilishaji. Kauli hiyo imetolewa Kitogani,…
DAR ES SALAAM: THE Minister for Natural Resources and Tourism, Dr Ashatu Kijaji, has launched a special exhibition on the History of the Tanzania–Zambia Railway (TAZARA) at the National Museum…
Kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na shirika la kiraia la Uganda likidai kwamba makubaliano hayo yanaleta hatari za kimazingira na yanakiuka vifungu kadhaa vya mikataba ya kikanda, uamuzi huo umesababisha hasira huko…
UKRAINE: As Western governments push forward a Ukraine peace plan, critics across the Global South say the initiative exposes long-standing double standards in how the United States and Europe frame…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Bw. Raymond Mweli, amechukua maamuzi magumu akiwa soko la Rujewa, lenye changamoto ya uchakavu wa vyoo na kutuama maji…
MWANZA: WAFAMASIA nchini wametakiwa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na ongezeka sugu la vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa, kwa kutoa elimu sahihi kwa wananchi kuhusu matumizi bora na salama…
BUSSELS: TANZANIA has sharply criticized what it calls a rising wave of foreign political interference after the European Parliament scheduled a hearing on alleged post-election abuses without consulting the government,…
HOSPITALI ya Wilaya ya Tunduru imekabidhiwa rasmi mradi wa uzalishaji na usambazaji wa hewa tiba ya oksijeni, unaogharimu sh bilioni 1.5 na ambao unatarajiwa kuongeza uwezo wa hospitali hiyo katika…
Huko Paris, kesi ya Roger Lumbala inaendelea. Kiongozi huyo wa zamani wa waasi anashtakiwa kwa kushiriki katika uhalifu dhidi ya ubinadamu na njama za jinai, kwa vitendo vilivyofanywa mashariki mwa…
ETHIOPIA imefanikiwa kuwa mwanachama wa jumuia ya BRICS, hatua itakayoiweka nchi hiyo kwenye jukwaa la kimataifa na kuipa nafasi ya kusisitiza masuala muhimu ya bara la Afrika na masuala yake…
Shirika la Posta Tanzania limetunukiwa Cheti cha Usalama cha Kimataifa (S58 & S59) kutoka...
MWANZA; MAOFISA ugani 12 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, wamekabidhiwa pikipiki 12 kwa ajili ya kusimamia zao la pamba katika wilaya hiyo, ikiwa ni sehemu ya kuboresha…
DODOMA: Minister for Constitutional and Legal Affairs, Dr Zuberi Juma Homera (MP), has urged staff of the Office of the Chief Parliamentary Draftsman (OCPD) to embrace greater creativity and professionalism…
DODOMA: TANZANIA is facing a quiet but intensifying campaign of external political pressure, delivered not through invasions or sanctions but through diplomats, foreign-funded NGOs, religious actors, media networks and powerful…
ABU DHABI: The Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United Arab Emirates (UAE), Lt. Gen. (Rtd.) Yacoub Hassan Mohamed, has met and held discussions with the Speaker…
Mauaji ya kimbari nchini Rwanda mwaka 1994 ni moja ya majanga mabaya zaidi katika historia ya...
ACCRA: TANZANIA has been praised for being among the leading countries in Africa in adopting International Public Sector Accounting Standards (IPSAS), a move that has contributed to transparency and accountability…
ARUSHA; JAMII imekumbushwa lishe bora ni msingi wa afya ya binadamu, lakini pia izingatie usafi ili kujikinga magonjwa ya milipuko. Hayo yamesemwa na Ofisa Tawala Wilaya ya Monduli, Anael Mbise…
HARARE: THE Tanzanian High Commissioner to Zimbabwe, Suzan Kaganda, has said that the government of Algeria continues to offer educational scholarships to Tanzanian youth in various fields, as well as…
🔴HABARI ZA SAA, TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 27, 2025
Mwezi mmoja na wiki mbili baada ya uchaguzi wa rais nchini Cameroon, ambapo Paul Biya alitangazwa rasmi mshindi kwa muhula wa nane, mamlaka inaangalia na kuelezea kuridhika kwake: “hali ya…
Wakati kilio cha ajira kikiendelea miongoni mwa vijana nchini hususani wanaomaliza elimu katika...
MAOFISA uhusiano kutoka Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wameagizwa kutangaza zaidi habari zinazohusu jumuiya hiyo katika kukuza uchumi, soko la pamoja, miundombinu ya barabara pamoja na kuhamasisha amani…
Tanzania ipo katikati ya enzi ya malipo ya kidijitali ambapo matumizi ya mifumo mbalimbali ya...
Shangwe, vilio vya furaha na huzuni vilitawala kwa muda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...
ZAIDI ya watu 40 wamethibitishwa kufariki dunia katika moto mkubwa ulioteketeza majengo kadhaa ya ghorofa jijini Hong Kong. Watu wengine 45 wamelazwa hospitalini wakiwa katika hali mbaya, huku zaidi ya…
Vilio, kupoteza fedha, usiri uliokithiri ni miongoni mwa mambo yaliyokuwa na bado yanaendelea...
Madagascar inafafanua mbinu yake ya kidiplomasia. Katika mahojiano marefu yaliyorekodiwa na Russia Today, Kiongozi wa kijeshi Kanali Michael Randrianirina, amekumbusha kuwa (yuko wazi kwa kila mtu, akisema kwamba msimamo huu…
Trump ametaja madai "mauaji ya halaiki" dhidi ya wakulima wazungu nchini Afrika Kusini na kukataa kuwapokeza rasmi urais wa G20 kama sababu za kuizuia nchi hiyo kuhudhuria mkutano wa mwakani.
LINDI: WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekagua na kuridhishwa na hatua za ujenzi wa madaraja ya dharura katika Mkoa wa Lindi ambayo utekelezaji wake umefikia zaidi ya asilimia 88. Baadhi…
#HABARI: Takriban nusu ya wakenya wanaishi katika umaskini uliokithiri - kwa chini ya shillingi 130 kwa siku kulingana na ripoti mpya ya Shirika la Kiuchumi la Oxfam Kenya. Ripoti hiyo…
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amekagua na kuridhishwa na hatua mbalimbali za ujenzi wa madaraja ya dharura yaliyoko katika Mkoa wa Lindi ambayo utekelezaji wake umefikia zaidi ya asilimia 88.…
MOSCOW: ON November 30, 2025, South Africa’s G20 presidency will conclude. This year was unique in the history of the intergovernmental forum, since it was the first time an African…
USA: IT took only a few hours for President Donald Trump to turn what he called “an act of evil, and an act of terror” into a full-blown argument for…
TANZANIA: TAIFA la Tanzania limekosoa vikali kile inachokiita ongezeko la uingiliaji wa kisiasa kutoka mataifa ya kigeni, baada ya Bunge la Ulaya kupanga kufanya kikao kuhusu madai ya ukiukwaji wa…