Mwinyi orders ministers to deliver
ZANZIBAR: ZANZIBAR President, Dr Hussein Mwinyi has issued a stern message to his newly appointed ministers and deputies: “Deliver results, increase the pace of implementation and get out of offices…
ZANZIBAR: ZANZIBAR President, Dr Hussein Mwinyi has issued a stern message to his newly appointed ministers and deputies: “Deliver results, increase the pace of implementation and get out of offices…
Iran imelaani vikali mauaji yanayoendelea kufanywa na utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina pamoja na ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi.
Wilison Nangu ni miongoni mwa wachezaji ambaye hakusajiliwa kwa kelele nyingi kujiunga na...
Afrika Kusini imeamua kufufua miradi ya nyuklia iliyokwama kwa muda mrefu na kufungua tena vituo muhimu vya utafiti, kama sehemu ya juhudi za kujenga upya utaalamu wa ndani na kujipanga…
Daraja la mgodi wa kobalti kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) limeporomoka na kuua wachimbaji wasiopungua 32, afisa wa serikali ya mkoa alithibitisha Jumapili.
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has reaffirmed the domestic private sector as a key driver of Tanzania’s economic growth, unveiling a series of reforms aimed at improving the business environment,…
Iran imekuwa ni ya tano duniani kwa mahitaji ya dhahabu katika kipindi cha robo tatu za kwanza za mwaka huu, ikichochewa na ongezeko la uagizaji wa dhahabu ili kueneza akiba…
Makundi ya Kipalestina yakiongozwa na Harakati ya Kiislamu ya Mapambano ya Palestina, Hamas, yamepinga vikali mpango wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa kupeleka vikosi vya kigeni katika…
Leo Novemba 17, wanafunzi 595,816 wameanza mitihani ya kuhitimu kidato cha nne. Ni upi ujumbe wako kwao? Uandike ujumbe wako hapa, nasi tutausoma #AdhuhuriLive saa 7:00 UTV. #AzamTVUpdates
Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, Mahmoud Ali Youssouf, amepongeza kutiwa saini kwa makubaliano ya amanikati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi hayo akisema ni “hatua kubwa…
The examinations will be conducted at 5,868 secondary schools and 813 private candidate centres. The post Form IV exams kick off as candidates number rises first appeared on Daily News.
Raia wa Kongo Roger Lumbala anashtakiwa katika mahakama ya Paris kuanzia Novemba 12 hadi 19, 2025, haswa kwa “kushiriki katika uhalifu dhidi ya ubinadamu” uliofanywa mashariki mwa DRC mnamo 2002.…
Hatua ya makundi ya michuano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ngazi ya klabu...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Ushindi wa idadi kubwa ya mabao katika mechi za jana usiku, umezihakikishia Ureno na Norway...
Kesi ya Jamil Mukulu, kiongozi wa kihistoria wa ADF, inatarajiwa kuanza tena Novemba 17, miaka kumi baada ya kukamatwa kwake nchini Tanzania mwaka wa 2015 na kupelekwa nchini Uganda. Kiongozi…
Nchini Mali, hali ya usalama bado inatia wasiwasi, hasa kusini mwa nchi. Huko Loulouni, kilomita hamsini tu kutoka mpaka wa Côte d’Ivoire, makabiliano yanafanyika kati ya magaidi wa JNIM na…
Baraza la Maaimamu nchii Tanzania limeelezea kusikitishwa na vifo vya kikatili vilivyotokea wakati wa uchaguzi nchini humo. Imechapishwa: 17/11/2025 – 09:20 Dakika 2 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
Angalau watu thelathini walifariki bada ya kuporomoka kwa daraja katika eneo la madini la Kalando, yapata kilomita arobaini kutoka Kolwezi, katika mkoa wa Lualaba, nchini DRC. Tukio hilo lilitokea siku…
#MEZAHURU:HOTUBA YA RAIS NA VIJANA. JE, KUANZISHWA KWA WIZARA YA VIJANA KUTALETA TIJA GANI KWAO? KARIBU KWA #MAONI NA #MASWALI HAPA
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Uturuki na Australia zimeibuka kama nchi mbili zinazogombea kuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa hali ya hewa, na majadiliano kati ya Ankara na Canberra wakati wa Mkutano Mkuu wa…
#HABARI: Jitihada zinazofanywa na Serikali kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) katika Wilaya ya Chato mkoani Geita, zimefanikiwa kupunguza idadi ya vifo vinavyotokana na ajali za majini ambavyo…
Chancel Mbemba ndio jina linaloimbwa zaidi kwa sasa miongoni mwa mashabiki wa soka nchini DR...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Katika maisha kuna ndoto ambazo huja mapema, lakini safari ya kuzifikia huchukua muda, na pia...
Jeshi la Polisi Mkoa wa kipolisi Tarime–Rorya mkoani Mara limemkamata Sajenti wa Jeshi la...
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced an ambitious national infrastructure agenda aimed at transforming the country into a rail linked economy that drives trade, investment and industrial growth across…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UBUNIFU WA UMALIZIAJI UJENZI WA NYUMBA |NOVEMBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has urged all Tanzanians to continue praying for the nation, emphasising that peace, love, patience and unity are essential foundations for sustainable development. The message…
Mshindi atatangazwa Novemba 19 mjini Rabat Morocco, ikiwa ni pamoa na washindi wengine wa vitengo tofauti
TANGA: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abdulrahaman ametoa kiasi cha Sh milioni 13.4 kuwalipia madeni vijana waliokopeshwa na serikali mikopo ya asilimia 10. Vijana hao…
JJamhuri ya Kidemokrasia ya Congo iliweka hai matumaini ya kufuzu Kombe la Dunia ilipoilaza Nigeria 4-3 kupitia mikwaju ya penalti baada ya sare ya 1-1 mwishoni mwa muda wa nyongeza…
#HABARI: Watu 32 wamefariki dunia, baada ya mgodi wa Kobalti kuporomoka katika eneo la uchimbaji madini la Kalando, katika machimbo ya Mulondo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Ajali…
Uturuki imekaribisha kutiwa saini kwa mfumo wa amani kati ya serikali ya DRC na waasi wa Machi 23 Movement (M23) huko Doha.
🔴KUMEKUCHA MICHEZO : -- NOVEMBA 17, 2025
Daraja lililoporomoka katika mgodi wa cobalt kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuua wachimba migodi 32, afisa wa serikali ya mkoa alisema Jumapili.
Wiki ya kwanza ya mkutano kuhusu tabianchi unaoendelea katika mji wa Amazonia nchini Brazil, Belem, ilishuhudia matukio tofauti, ikiwemo maadamano ya amani ya mashirika ya Mazingira, yaliojumuisha jamii za kiasili…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 17,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Mke wa mwanasiasa mashuhuri nchini Uganda, Kizza Besigye, Winnie Byanyima, sasa anataka mume wake kuachiwa huru na haki itendeke, kauli anayotia wakati huu mwanasiasa huyo akifikisha mwaka mmoja kizuizini tangu…
Timu ya taifa ya DRC hapo jana iliweka hai matumaini yake ya kufuzu kucheza fainali za kombe la Dunia hapo mwakani baada ya kuwafungwa Nigeria kwa magoli 4 kwa 3…
Polisi ya Tanzania iimetangza kuwa imemkamata raia wa Marekani na Kenya akiwa na mabomu katika mpaka wa Tanzania na Kenya.
#SwaliLaKipimaJoto:Mpango wa Wakala wa Nishati Vijijini REA kugawa kwa bei ya punguzo majiko ya umeme kwa wateja wao wapya. Je, ifanyike kwa wateja wote wa TANESCO?
🔴#MAGAZETI:NECTA YAONYA UDANGANYIFU MTIHANI KIDATO CHA NNE LEO / KIPIGO CHAMCHEFUA GAMOND
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amekemea Marekani kwa kuchochea mashindano ya silaha duniani kupitia matumizi ya mabavu waziwazi na uvunjaji wa sheria za kimataifa, akisema hakuna…
Makundi na harakati za Palestina zimetangaza kuwa zinapinga uwepo wowote wa kijeshi wa kigeni au kambi za kimataifa ndani ya Ukanda wa Gaza, zikisisitiza kwamba suala hilo linawakilisha ukiukwaji wa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 17, 2025
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), unaoshutumiwa kwa kuunga mkono waasi wa RSF wanaotekeleza ukatili na mauaji ya kimbari Sudan, umeibuka kuwa soko kubwa zaidi la silaha za Australia.
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI), Mohammad Eslami, amesema kuwa Troika ya Ulaya inayojumuisha Ufaransa, Uingereza na Ujerumani inaendeleza mwenendo wa mabavu dhidi ya Iran na…