Rubio: Dunia ichukue hatua kukata njia za silaha kwa RSF
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua kukomesha usambazaji wa silaha kwa wanamgambo wa RSF akitaja hali nchini Sudan kuwa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua kukomesha usambazaji wa silaha kwa wanamgambo wa RSF akitaja hali nchini Sudan kuwa…
Serikali ya Kenya imesema zaidi ya raia wake 200 wamejiunga na jeshi la Urusi katika vita vinavyoendelea nchini Ukraine huku baadhi ya mashirika ya ajira yakiendelea kuwashawishi Wakenya zaidi kujiunga…
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali yakiwemo ya uhusiano wa…
Katika mkutano uliofanyika nchini Canada, mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zilizoendelea kiviwanda duniani G7 wametoa wito wa dharura wa kusitishwa kwa vita vinavyoendelea nchini Ukraine.
Imeelezwa kuwa, Ujerumani inashika nafasi ya pili duniani kwa kuuuzia silaha utawala haramu wa Israel unaofanya mauaji ya kinyama dhidi ya Wapalestina.
Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limetangaza kuwa, zaidi ya nusu ya vyanzo vya maji vya Afghanistan vimekauka.
Umoja wa Mataifa umetowa wito wa kufanyika uchunguzi kwa kile kinachodaiwa kuwa vifo vya mamia ya watu katika machafuko ya kupinga uchaguzi nchini Tanzania.
Leo ni Alkhamisi tarehe 22 Jamadil Awwal 1447 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 13 Novemba 2025.
Harakati ya kususia bidhaa za Israeli (BDS) inazidi kupata nguvu kote duniani, tena kwa kasi kubwa, na watu binafsi na taasisi mbalimbali kote ulimwenguni zinajiunga nayo kwa lengo la kuongeza…
Katika juhudi za kuhakikisha makubaliano ya kina kuhusu mabadiliko ya tabianchi, Brazil imeamua kuongeza muda wa mazungumzo katika mkutano wa mazingira wa COP30.
Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika wameungana kwa mkakati wa kihistoria - kuoanisha Ajenda 2030 na Ajenda 2063 - ili kuleta amani endelevu, maendeleo jumuishi na uwakilishi wa haki…
Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Afrika, Mahmoud Ali Youssouf, amekanusha vikali madai ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu mauaji ya kimbari dhidi ya Wakristo kaskazini mwa Nigeria.
DODOMA: A total of 498 health professionals have been awarded scholarships under the Samia Health Super Specialisation Scholarship Programme for the 2025/26 academic year. According to a statement issued by…
ARUSHA: TANZANIA is set to reap major gains from hosting the Africa Premier Artificial Intelligence Conference (APAIC) 2025, to be held from November 24 to 27 in Arusha. Staging the…
SINGIDA: SINGIDA Regional Administrative Secretary (RAS), Dr Fatuma Mganga, has directed heads of sections, departments, and units to ensure efficient use of government funds to deliver tangible, positive outcomes for…
MWANZA: THE Misungwi District Council in Mwanza Region has pledged to scale up the production of horticultural and garden crops as part of efforts to strengthen the local economy and…
DODOMA: THE countdown has begun for Tanzania’s basketball showpiece, as the National Basketball League (NBL) playoffs return this month, bringing together the country’s top clubs in what promises to be…
MWANZA: THE government has unveiled a strategic plan to make coffee the second economic pillar in Ukerewe District in Mwanza Region, as part of broader efforts to diversify income sources,…
Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zilizoendelea kiviwanda duniani G7 wameeleza wasiwasi wao kuhusu kuzorota kwa hali ya usalama nchini Sudan+++Wiki hii Syria ilijiunga na kundi linaloongozwa na Marekani…
ARUSHA: THE East African Business Council (EABC) and the Africa Leather and Leather Products Institute (ALLPI) have signed an agreement to revitalise the leather sector and boost its competitiveness across…
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S efforts to combat Non-Communicable Diseases (NCDs) have received a significant boost through the ongoing work of the Korea Foundation for International Healthcare (KOFIH) Global Alumni (KGA)…
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Premier League Board (TPLB) has issued an official warning to Young Africans SC for breaching match procedures during their Premier League fixture against Mtibwa Sugar…
EGYPT: TAIFA Stars Head Coach Miguel Gamondi says the upcoming international friendly against Kuwait on Saturday will serve as a crucial test of character and quality as Tanzania continue with…
Strong demand from China, the United Arab Emirates, South Africa, Hong Kong and Singapore accounted for 62.8 per cent of total exports, compared with 40.1 percent a year earlier. The…
MWANZA: A total of 368 farmers from 15 wards in Musoma Municipality, Rorya and Musoma District Councils have received 34 irrigation pumps worth over 468m/-, in an effort to boost…
DODOMA: PERMANENT Secretary in the President’s Office – Public Service Management and Good Governance, Mr Juma Mkomi has called on public servants across the country to uphold peace, unity, and…
DAR ES SALAAM: A glut of watermelons across the country has led to a sharp fall in prices, with traders reporting an oversupply in major markets that has pushed prices…
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 12 NOVEMBA 2025
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) imetangaza Operesheni Maalum ya kuwaondoa wasafirishaji na watoa huduma wote, katika mfumo pamoja na kuwatoza faini iwapo watabainika kutoa huduma kinyume…
#HABARI: Wakati Timu ya Taifa ya Soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ikiondoka leo kuelekea nchini Misri, imani imekuwa kubwa kwa wadau wa soka kuwa Benchi jipya la ufundi…
Bol Mel aliteuliwa mwezi Februari mwaka huu kama mmoja kati ya mamakamu 5 wa urais nchini humo.
#HABARI: Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Kuzuia Magonjwa Yasioambukiza Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, imesema magonjwa hayo yameongezeka ambapo kwa mwezi inaona wagonjwa wa Kisukari watu wazima 800 hadi…
JKT Queens imeambulia sare ya 1-1 dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory Coast kwenye mechi ya pili ya kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika Kwa wanawake.
Kulingana na Rais Boko Duma wa Botswana, uamuzi huo unalenga kuhuisha idadi ya wanyamapori hao nchini India.
Takribani wanafunzi 150 wa shule ya msingi Kagongo, Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, wanalazimika kusomea kwenye jengo lililo wazi kwa majuma matatu baada ya mvua iliyoambatana na upepo kuharibu paa…
Eneo la Posta - Iringa limetengwa mahsusi kwa ajili ya wafanyabiashara wenye ulemavu wa aina mbalimbali, ikiwemo viziwi. Hata hivyo, nyuma ya pilika pilika za watu na magari katika eneo…
Wafugaji katika kijiji cha Katuka, wilayani Kalambo, wameiomba serikali kufanya utafiti juu ya ugonjwa wa kwato na kutoa chanjo, kwani ugonjwa huu unashambulia ng’ombe zao na kuzuia kufanikisha malengo yao…
Mbunge wa Viti Maalum kwa Kundi la Watu wenye Ulemavu, Nassirya Nassir Alli, ameliomba Bunge kurekebisha kanuni ili apate msaidizi wa kutafsiri lugha ya alama ndani ya Bunge, jambo litakalomsaidia…
Serikali ya DRC ilitoa hati yake ya kukamatwa kwake mwaka 2011 baada ya kuhusishwa na kukiunga mkono kikundi cha waasi cha M23, na kulazimika kukimbilia nchini Ufaransa.
Serikali za Afrika ikiwemo Tanzania, hospitali binafsi na wataalamu wa teknolojia wamehimizwa...
#HABARI: Jeshi la Uhamiaji Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, limewataka wakulima wote wa zao la Tumbaku wilayani hapo ambao wanahusika kuwavusha kinyemela vijana kutoka mataifa ya jirani kwa nia ya…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kutangaza Baraza jipya la Mawaziri kesho, Novemba 13, 2025, katika hafla fupi itakayofanyika Ikulu Zanzibar. The…
Wakulima 120 kutoka wilaya mbalimbali za mkoa wa Ruvuma wamenufaika na mafunzo ya kilimo bora...
đź”´TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 12, 2025 -LISSU AWEKA MAPINGAMIZI SITA KWA SHAIDI WA TATU
Wachezaji wa Timu ya taifa ya Nigeria wamesitisha mgomo wao mfupi na kurejea mazoezini baada ya...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi anatarajia kutangaza Baraza la Mawaziri kesho Alhamisi...
BODI ya Korosho Tanzania (CBT) kwa kushirikiana na Kampuni ya Rhino Sports Talents Promotion imezindua vifaa vya mbio za Korosho Marathon msimu wa nne, huku mwaka huu zikitarajiwa kuwahusisha pia…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemtaka waziri wa sheria German Galushchenko na waziri wa nishati Svitlana Hrynchuk kujiuzulu kufuatia uchunguzi wa sakata ya ufisadi katika sekta ya nishati nchini humo.
IN East Africa, we’re experiencing an exciting period of business growth driven, in part, by digital transformation and its myriad of benefits such as mobile-driven financial inclusion, smarter agriculture and…
Wakati wengi wakijiuliza kuhusu uchaguzi wa wajumbe watano wa Baraza la Wawakilishi katika...