Lissu alianzisha upya, awapinga mashahidi wa ‘ufichoni’
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi...
Wakati jina la Waziri Mkuu mpya wa Tanzania likitarajiwa kutangazwa kesho bungeni, baadhi ya...
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Safia Jongo, ametoa wito kwa wazazi na walezi nchini kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao ipasavyo katika malezi ya watoto…
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimetoa takwimu zinazoonyesha takribani watu 641 nchi nzima wamepelekwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya uhaini kutokana na vurugu za Oktoba 29 wakati wa Uchaguzi Mkuu…
Ulimwenguni kote, kichaa cha mbwa huua takriban watu 59,000 kila mwaka, na karibu 95% ya vifo hivi hutokea Afrika na Asia.
Mahakama maalum ya uhalifu nchini Gabon imemhukumu mke wa rais wa zamani wa nchi hiyo Ali Bongo, Sylvia Bongo na mwanawe Noureddin Bongo kifungo cha miaka 20 jela bila kuwepo…
KIKONGWE mwenye umri wa miaka 93, Eliashisauwa Isay, mjane wa kijiji cha Ngira, kata ya Masama Mashariki wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro, amemuomba serikali kuingilia kati mgogoro unaomhusisha na mkwewe anayedai…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA ARUSHA: 12 NOVEMBA, 2025
DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Yannick Ndoinyo ameahidi kutekeleza ahadi zote alizoahidi kwa wananchi wa jimbo hilo. Akizungumza leo nje ya ukumbi wa bunge mara baada ya…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia raia 38 wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini...
KUTOKA CS SFaxien ya Tunisia, kisha Al-Waab SC ya Qatar, Naby Camara raia wa Guinea, uwezo wake kwa sasa unaonekana ndani ya kikosi cha Simba alichojiunga nacho kipindi cha usajili…
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linaendelea kukuza uchumi wa kidijitali kwa kuhakikisha inatoa huduma bora kwa gharama nafuu. Agenda hiyo ambayo pia inaungwa mkono na serikali inakuja…
Wadau wa mazingira na kilimo mseto wamependekeza kuanzishwa kwa Jukwaa la Uratibu wa...
KINACHOFANYWA na madaktari wa Azam hivi sasa ni kumpambania kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum 'Fei Toto' awepo kwenye mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Maniema.
MENEJA wa Msanii wa Bongo Fleva, Grady Godlove 'Pipi Jojo', maarufu kama Chief Godlove, amefunguka kuhusu uhusiano wake na msanii huyo, akisisitiza kuwa hana mkataba rasmi naye bali anamsaidia kwa…
KUNA pande tatu zimetoa kauli mbili tofauti zilizoibua utata wa madai ya fedha za usajili yanayomuhusu kiungo wa Yanga, Aziz Andabwile dhidi ya klabu hiyo ambapo kesi hiyo imefikishwa kwenye…
Baada ya kilio cha muda mrefu cha wadau wa elimu kufuatia kukosekana kwa usimamizi wa uamuzi wa...
BAADA ya kuambulia pointi moja katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam, winga wa Namungo FC, Helbert Lukindo amesema bado wana kazi ngumu kusaka matokeo mazuri kutokana na…
Wanawake wanaokimbia mji wa al-Fashir nchini Sudan wameripoti mauaji, ubakaji wa kimfumo na kupotea kwa watoto wao baada ya mji huo kutekwa na wapiganaji wa RSF, kwa mujibu wa shirika…
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ametangaza kuwa kesho, Novemba 13, 2025, Bunge litakuwa na kikao maalum cha kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu wa…
KOCHA Msaidizi wa Malindi, Mohamed Salah ‘Richkard’ amesema mabadiliko iliyofanya timu hiyo msimu wa 2025-2026 yanalenga mambo makuu mawili ambayo ni kuuza wachezaji kimataifa na kuweka rekodi ya kuchukua ubingwa…
KOCHA Msaidizi wa Malindi, Mohamed Salah ‘Richkard’ amesema mabadiliko iliyofanya timu hiyo msimu wa 2025-2026 yanalenga mambo makuu mawili ambayo ni kuuza wachezaji kimataifa na kuweka rekodi ya kuchukua ubingwa…
Tukio lilitokea Juni 22, 2025 ambapo mkazi wa East Mbezi kata ya Ndembezi Mackighty Johnstone...
KOCHA wa Azam FC, Florente Ibenge amesema waamuzi wameikwamisha kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo waliyotoka sare ya bao 1-1, lakini hilo ameachana nalo na sasa akili…
KIUNGO mshambuliaji wa TRA United, Ramadhan Salum Chobwedo amewataja Crispin Ngushi wa Mashujaa na Ismail Aziz Kader anayecheza Fountain Gate kwamba anapenda aina ya uchezaji wao na huiga baadhi ya…
MBEYA: The Mbeya Regional Police Force is holding 38 people, including an Ethiopian national identified as Tadesa Limoli (32), on suspicion of entering the country illegally. According to a statement…
Ufaransa na mamlaka ya Palestina zimepanga kuunda kamati ya pamoja kushughulikia uimarishaji wa mpango wa kuundwa dola la Palestina huku Ufaransa ikiionya Israel dhidi ya kunyakuwa eneo la Ukingo wa…
BEKI wa KMC, Ismail Gambo amesema kwamba kikosi hicho kipo kwenye wakati mgumu baada ya kufungwa mechi tano mfululizo za Ligi Kuu Bara msimu huu.
SINGIDA: PROTECTION of the Mgori Forest Reserve in Singida Region will be strengthened following the announcement by the Commissioner for Conservation at the Tanzania Forest Services Agency (TFS), Professor Dos…
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameileza Mahakama Kuu...
CHAMA la nyota wawili wa Tanzania, FC Masar ya Misri, limefufua matumaini ya kuisaka nafasi ya nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake baada ya juzi…
Nairobi, Kenya: KENYA President William Ruto has reaffirmed his administration’s commitment to deepening collaboration with the United Bank for Africa (UBA) Group on transformative national projects, including railway modernisation, airport…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar, Zainab Abdallah, ameapishwa rasmi leo Novemba 12, 2025, katika Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya…
Ngome ya vijana wa ACT - Wazalendo imetoa kauli kufuatia vurugu zilizotokana na maandamano ya...
SERENGETI: A high-level delegation of 120 travel agents from the United States has wrapped up an exclusive familiarization trip to Tanzania, leaving deeply impressed by the Serengeti’s unrivaled beauty and…
Ripoti mpya ya pamoja ya Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) la na Mpango wa Chakula Duniani (WFP) iliyotolewa leo Jumatano zimetahadharisha kuwa, hali ya ukosefu…
AKIWA na umri wa miaka 48 sasa, Shakira Isabel Mebarak Ripoll maarufu Shakira, bado anatamba...
Baada ya kilio cha muda mrefu cha wadau wa elimu kufuatia kukosekana kwa usimamizi wa uamuzi wa...
Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), kimelaani vurugu, mauaji na uharibifu wa mali...
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, ametoa wito kwa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuanzisha kozi maalum za muda mfupi na mrefu za…
Osama Hamdan, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, amesisitiza kwamba, silaha za Muqawama ni suala lisiloweza kujadiliwa kabla ya kuundwa nchi dola ya Palestina na…
🔴MEZA HURU: UJAUZITO NA MAGONJWA YA KUJAMIANA NOVEMBA 12, 2025
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Jumatano limemchagua Phoebe Okowa kutoka Kenya kuwa Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), baada ya duruu nne za upigaji kura.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amesema dunia haiwezi kuigeuzia kisogo Afrika akisisitiza kuwa bara hilo ni nyumbani kwa karibu robo ya watu wote duniani, na lina nafasi…
Kwa zaidi ya miaka 40, Ivanil ameishi katika nyumba iliyoinuliwa kwa nguzo, umbali wa mita 20 tu kutoka kando ya maji, katika jamii ile ile aliyo zaliwa, kwenye Kisiwa cha…
Ripoti mpya ya pamoja kutoka mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa lile la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) na la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) inaonya kwamba uhaba mkubwa wa…
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO, leo katika kuadhimisha siku ya homa ya mapafu au kichomi ambayo hujulikana kama nimonia Duniani, limeitoa wito wa kuchukua hatua za…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limesikitishwa na ajali mbaya ya boti ya wahamiaji iliyotokea nchini Libya, pwani ya bahari ya Mediterania, ambayo imesababisha vifo vya wahamiaji kadhaa.
Kituo cha utafiti wa kusaka Suluhu kuhusu mafuriko kinachoendeshwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) nchini Uganda kimetumia maarifa ya pamoja kukabiliana na changamoto za…
Mkutano wa Pili wa Dunia wa Maendeleo ya Kijamii umefunga pazia mjini Doha, Qatar, mwishoni mwa wiki hii, ukiwaleta pamoja viongozi wa dunia, mashirika ya kiraia na vijana wakitoka na…