Katika kuleta mabadiliko ya kijamii na uchumi katika sekta ya elimu, Shule ya Rahma World iliyopo Dodoma, imeanzisha program maalum ijulikanayo kama ‘zaidi ya kijifunza’, ambapo wanafunzi wanatumia ujuzi wanaoupata katika program hiyo, pamoja na malighafi rahisi zinazopatikana katika mazingira yanayowazunguka kutengeneza sabuni za maji.

Program hiyo inahusisha stadi za kazi ikilenga kuwajengea uwezo wanafunzi wa kubuni na kutengeneza bidhaa za ujasiriamali.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @claud_jm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *