#HABARI: Rais wa Marekani amesema hataki wahamiaji wa Kisomali nchini Marekani, na kuwaambia waandishi wa habari wanapaswa kurejea walikotoka.
“Siwataki katika nchi yetu, nitakuwa mkweli” Donald Trump amesema hayo wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri siku ya Jumanne.
Maoni yake ya kudhalilisha yanakuja wakati maafisa wa uhamiaji wakiripotiwa kupanga operesheni katika jamii kubwa ya Wasomali ya Minnesota.
Maafisa katika jimbo hilo wamekosoa mpango huo, wakisema unaweza kuwaondoa isivyo haki raia wa Marekani ambao wanatoka katika taifa hilo la Afrika Mashariki.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.