#HABARI: Wazee na Vijana wa Mkoa wa Pwani, wamesema hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alipozungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, imeonyesha uwazi na ukweli na ikisisitiza uwajibikaji, uadilifu na utendaji wenye matokeo chanya, jambo ambalo ni msingi thabiti wa mabadiliko katika kuiwezesha nchi kujitegemea kwa mwelekeo imara wa maendeleo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *