Mazungumzo ya saa tano kati ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Marekani, Donald Trump yameonekana kushindwa kuleta mafanikio katika kufanikisha muafaka wa amani nchini Ukraine.

#AzamTVUdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *