#HABARI: Halmashauri ya Mji wa Babati mkoani Manyara, imetoa tuzo kwa walimu wa shule za Sekondari waliofanya vizuri na kuwezesha ufaulu wa wanafunzi katika mitihani ya kidato cha nne na kidato cha pili mwaka 2024.

Hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, ikiwa na lengo la kutoa hamasa kwa walimu ambao wamefanya vizuri katika masomo yao ambapo Afisa Elimu Halmashauri ya Wilaya ya Babati Simoni Mumbe amewapongeza walimu kwa kazi kubwa wanayofanya na kuhakikisha ufaulu unaongezeka.
Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *