Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Rais kuhusu masuala ya chakula, Mizengo Pinda ameishauri Serikali kuangalia namna ya kuanzisha mfumo wa ukusanyaji wa taarifa zinazofanywa kila mwaka na watafiti wa kilimo ili ziweze kusaidia katika uboreshaji wa sekta hiyo hapa nchini.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi