Serikali imewataka Madiwani na Watendaji katika halmashauri ya wilaya ya Sikonge kwenda kufanyakazi kwa kuheshimiana ili malengo ya kuwatumikia Wananchi yaweze kufikiwa katika kuwaletea maendeleo endelevu kwenye maeneo yao hatua ambayo itasaidia pia wananchi kuendelea kujenga Imani kubwa kwao na kwa Serikali kwa ujumla.
#kilichoborakabisa