#HABARI: Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Philip Mpango na viongozi mbalimbali wa Serikali wamewasili katika Kanisa la Mtakatifu Mwenyeheri Maria Teresa Ledochowska Parokia ya Kiwanja cha Ndege jijini Dodoma, kwa ajili ya Ibada Maalum ya Misa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma na waziri wa zamani wa Afya Jenista Mhagama.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania