#HABARI: Katika kurejesha na kuithamini jamii MCHEZO SUPA ya ITV imetembelea na kutoa mahitaji mbalimbali ya watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Watoto Wetu, kilichopo Goba jijini Dar es Salaam.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania