Je, sababu yako ya kutaka mafanikio inaendana na jitihada unazoweka ili kuyafikia Msikilize Mshauri na Mwelekezi wa Stadi za Maisha, Rodrick Nabe akifafanua jinsi malengo ya mtu yanavyoweza kumpa mafanikio au kumpa hasara pia.

✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates #hellowikiendi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *