Mshauri na Mwelekezi wa Stadi za Maisha, Rodrick Nabe amewashauri baadhi ya watu wanaoposti katika mitandao ya kijamii kuweka michakato wanaopitia kufikia mafanikio na si tu matokeo ili vijana wajifunze vizuri nyayo zao.

✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates #hellowikiendi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *