#DAKIKA45: “Afya ya mfuko imekwenda ikiimarika, nakisi tuliyokuwa nayo mpaka tunafunga mahesabu yetu tumekuwa na ziada ya Bilioni 225, ambapo ziada hii imefanya mambo mengi, vilevile tumefunga mianya ya udanganyifu”
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania