“Tunakwenda kuangala hiki kituo kinatoa huduma vizuri au hakitoi huduma vizuri, lakini pia kwenye mfumo kwa mfano huyu amekuja akaambiwa hakuna dawa, lakini kwenye mfumo yule mtu ameandika kuomba ile dawa ndio inakuja ishu ya udanganyifu, kwamba huyu ameambiwa hakuna dawa lakini kwenye mfumo inaonekana ametibiwa na amepewa dawa flani…”
Dkt.Irene Isaka – Mkurugenzi Mkuu NHIF.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania