Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, CGP Jeremiah Katungu amesema hatasita kuchukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya watumishi wazembe ndani ya Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi hilo (TPS SACCOS), wanaofanya kazi kwa mazoea na kuweka urasimu unaokwaza watumishi wengine.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi