Kundi la waasi la M23 jana Jumatatu limetangaza uamuzi wa kuondoa wanajeshi wake kutoka mji wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mji ambao lilidai kudhibiti wiki iliyopita.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *