#HABARI: Msanii maarufu na mjasiriamali, @officialshilole amepata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo katika eneo la Malagarasi, mkoani Kigoma, alipokuwa safarini akirejea Dodoma baada ya kuhudhuria sherehe za Mwaka Mpya.

Shilole alikuwa miongoni mwa wageni waliokuwa wamealikwa kwenye sherehe hizo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Cleyton Chipando (@officialbabalevo Levo).

Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na Mheshimiwa Chipando kupitia mitandao ya kijamii, gari aina ya Alphard alilokuwa akisafiria Shilole lilipata ajali baada ya kugonga ng’ombe barabarani katika eneo la Malagarasi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *