Ili kuwa na mipango inayokamilika unahitaji kujua unataka nini katika maisha yako.
Je, una muongozo wa kufuata katika kufanikiwa malengo yako?

Muelimishaji na mshauri mwelekezi wa stadi za maisha Brightness Makando amekushauri mtazamaji wa Hellow Wikiendi namna ya kutimiza ndoto yako akianza na kukutaka uijue “ndoto unayotaka itimie”.

✍Ibrahim Kilumbo
Mhariri | @moseskwindi

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *