Ingawa historia ya ukombozi wa Tanganyika inatajwa isingeweza kumtaja kila mmoja aliyeshiriki kupambania uhuru wake kutokana na wingi wa Watanganyika wote lakini katika vilima vya Usambara wilayani Lushoto mkoani Tanga watu wawili wanatajwa kuwa na mchango wa kipekee miongoni mwa waliokuwa wakazi wa eneo hilo.

Ni ndani ya misitu minene ya Irente yanakopatikana mapango ya asili yaliyobeba siri mashujaa Osale Otango na Paul Hamis.

Mariam Shedafa ameandaa taarifa kuhusu mashujaa hao wasio maarufu miongoni mwa wengi.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *