Jeshi la Marekani limeivamia Venezuela na kufanya operesheni ya kumuondoa kinguvu Rais wa nchi hiyo, Nicholas Maduro kisha kumsafirisha yeye na mkewe hadi Marekani kisha kuwafungulia mashtaka.

Katika taarifa yake Rais wa Marekani, Donald Trump amewaambia waandishi wa habari kuwa wataisimamia nchi hiyo mpaka atakapopatikana kiongozi wa mpito sambamba na kuzirejesha kampuni za mafuta za Marekani ambazo shughuli zake nchini humo zilisitishwa na uongozi wa Maduro.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *